Naam ni dhambi tupu! Maana hili la kuvunja jungu na matendo mengine baada ya Mwezi wa Toba ni kama vile waumini wameruhusiwa kufanya dhambi katika miezi 11 katika mwaka halafu mwezi mmoja ndiyo wanafanya mambo ya toba, kumbe si hivyo hata kidogo. Sasa mtu unaenda kuutwika mtungi siku chache kabla ya Mfungo, si ajabu hata Mfungo unapoanza bado una ile perfume ya maji ya dhahabu halafu unasema umefunga!! Hmmm!