Vunja Bei: Brand New Samsung galaxy Tablet Note, New Edition,

Nadhani uweke kila simu/ tablet na bei yake alafu utaacha room for bargaining on individual basis. Bei ndiyo motivator wa kufanya watu waanze ku grow interest in comparison of what is the current market price.
 
Kweli kiongozi, Nitaanza kufanya hivyo...thanx kwa ushauri aysee
 
Mkuu nahitaji chaja ya iPad air 2 ambayo ni original kabisa, ntapata kwa bei gani?
 
Charger original kabsa ipad air 2 ni 45 mkuu...ninazo mimi nauza bei hiyo...ila kuna hadi za 15 elf na kuna wengine huwa wanalazmisha kutumia hata za iphone 6 & 5s
Km utahitaji bas Nichek kwenye # 0654776976
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom