Tank lipo chini kwa sababu maji yanatoka juu kwenye gutters, sasa lazima yapate slope ili yatelemke hadi chini kabisa kwenye tank,
Sasa basi Kama utahitaji kutoka kwenye tank kwenda kwenye nyumba yako ni lazima utumie surface water pump ndogo tu kama ya 0.5 hp, kuongeza pressure.
Nafikili umenielewa!!