kamati ya ufundi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 416
- 438
Leo bungeni nimemsikia Mh. Kassim Majaliwa anasema kuchelewa kutolewa kwa fedha za bajeti kwenye halmashauri kumetokana na maandalizi ya kuweka sawa mfumo wa ukusanyaji mapato ktk halmashauri hivyo wakuu wa wilaya na mikoa wasubirie katika kipindi hiki cha mpito na hela zilizopo zitumike kama ilivyokusudiwa. Swali la kujiuliza hapa ni kweli tunaweka mifumo sawa au tunapita ktk kipindi kigumu so tuuchune tu.