Vumilieni tukiendelea kutafuta pesa za kuendesha Halmashauri.

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
416
438
Leo bungeni nimemsikia Mh. Kassim Majaliwa anasema kuchelewa kutolewa kwa fedha za bajeti kwenye halmashauri kumetokana na maandalizi ya kuweka sawa mfumo wa ukusanyaji mapato ktk halmashauri hivyo wakuu wa wilaya na mikoa wasubirie katika kipindi hiki cha mpito na hela zilizopo zitumike kama ilivyokusudiwa. Swali la kujiuliza hapa ni kweli tunaweka mifumo sawa au tunapita ktk kipindi kigumu so tuuchune tu.
 
TUNA NUNUA MUDA HELA ZIKIPATIKA TUTA WAPA NGOJA ZIPATIKANE (MFUMO HAUWEZI KUSABABISHA HELA ZISITUMWE HAPA TUMA HELA ENDELEA KUREKEBISHA MFUMO WAKO)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom