kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 282
We muongo mkuu we unadhani ze diki ikisimama siku 3 mfululizo kuna usalama hapo watu watakuzika hilo moja, pili kwa ushuhuda toka kwa wanaotumia huyo mkongoman huwa wanasema halina madhara hata usipomchukuchua mtu, ni kazi yake ni mpaka umtafune mtu ndio inawasaidia kuchelewa kukojoa sijui, labda uwe umekunywa ma viagra..
Ama upo kwenye promo za biashara nini mkuu nisikuharibie kipato[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi
Sent using my nokia ya tochi
Ingekuwa priapism tungekuwa tumemsahau mwanaumw mwenzetu sasa hivi..Hiyo ni Priapism, nenda kamuone daktari.
Linapatikana wapi mkuu?.......Jamaa kasimama Leo siku ya 3....imenilazimu kuvaa Jeans bila kupenda... Kama mishale vile inachoma kwa Bakari kichwa..
Nashinda naloweka bakari kichwa kwenye beseni la maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza inaonyesha umehadithiwa kuhusu hilo vumbi kisha unaleta kama ushuhuda wa uongo. Hilo vumbi haliongezi ashki zozote nikimaanisha kuingeza nguvu za kiume zaidi ya kuufanya uume uwe na ganzi ndo maana unakusaidia kubaki uume ukiwa na nguvu kuendelea na tendo kwa muda mrefu. Usilete promo kwa vitu usivyovijua mkuu.......Jamaa kasimama Leo siku ya 3....imenilazimu kuvaa Jeans bila kupenda... Kama mishale vile inachoma kwa Bakari kichwa..
Nashinda naloweka bakari kichwa kwenye beseni la maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
.......Jamaa kasimama Leo siku ya 3....imenilazimu kuvaa Jeans bila kupenda... Kama mishale vile inachoma kwa Bakari kichwa..
Nashinda naloweka bakari kichwa kwenye beseni la maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa priapism tungekuwa tumemsahau mwanaumw mwenzetu sasa hivi..
Hilo ni tangazo la biashara tu...mashine haiwezi simama masaa 24 mfululizo halafu awe unatype jf
Sent using Jamii Forums mobile app