JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Unalowesha maji kidogo kichwa cha uume, kisha unaipaka dawa. Hakikisha dawa imelowana.Unapakaje mkuu?? Unachanganya na maji au hivo hvo unga unga ukiwa mkavu na vumbi lake??
Goite
Halafu baadae napukuta itoke au napiga pumbu ikiwepo bado kwenye dushe?Unalowesha maji kidogo kichwa cha uume, kisha unaipaka dawa. Hakikisha dawa imelowana.
Kama haijalowa, unaongeza matone ya maji kidogo kulowanisha dawa iliyopo kwenye kichwa cha uume
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati kwa shughuli zang nilikua napita famasi za bugurun nyng zinauza haya madawa inaelekea matumiz ni makubwa. sijui hali ya taifa la itakuwajeUfanunuzi,,viagra ,electo ,cupid,enjo
hivi ni vidonge vya kumeza
Vumbi la congo ni dawa ya kupaka kwenye ndonga
Sasa tunaitaji ufafanuzi kuna mausiano gani na kushuka kwa presha ya damu na dawa ya kupaka kwenye machine ebu mtoa mada tupe ufafanuzi ...