Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,993
wakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo.
Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa ni matapeli ambao hutumia dawa za kisasa na kuzibrand za asili wakitumia imani ya watu kwa dawa za asili kutapeli.
Wanatumia dawa za kuongeza nguvu kama Cialis au viagra(sildenafil) na kuchanganya na unga wa miti na kusema ni dawa asili. Hata wamasai wauza dawa nasikia walikuwa na mchezo huo.
Hatari za hizi dawa ni kama ifuatavyo.
Hizi dawa ufanyaji wake kazi husababisha presha ya damu kushuka. Kwa watu wanaotumia dawa za presha au wanaotumia dozi kubwa wanaweza kufa kwa presha kushuka kupita kiasi.
Kitu kingine ni kitu inaitwa priapism. Hii niuume kusimama hata zaidi ya masaa sita bila kulala. Mtu akipatwa na hali hii na asipopatiwa masaada wa haraka kuna 50 chances za kuwa hanithi. Sijajua kwanini mamlaka husika hazijazungumza kuhusu hili swala ambalo ni hatari kwa afya ya umma na limaweza kuwa la kitapeli pia.