😛hoto: Wapendwa wanaharakati wa kusini, karibu na mjiandae vema na M4C:-
1. Mtu mmoja aweke uzalendo mbele chukua hatua amia CDM
2. Fikiri mambo makuu yanyowezekana kupitia CDM yaweke mbele
3. shirikisha si chini ya watu 5 wawe na maamuzi na malengo kama yako
4 2015 tumia haki yako chagua CDM hakika saa ya ukombozi imefika Kusini