VPN na Bandwith

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,501
Reaction score
8,690
Wakuu naomba kujua iwapo nitatumia Vpn hzi zilizotajwa ni bora kama vike Nord vpn, express von Cyberghos nk
Ina weza kuongeza spidi ya internet yangu?

Kwa mfano Halotel wana kifurushi kinaitwa royal ni unlimited lakini speed ya kasi ni 2gb only baada ya hapo ni speed ya kobe ... Je kwa kutumia premium account vpn spidi inaweza kubaki ile ile?
 
Spidi ya internet via vpn inategemea na spidi ya source ya internet

Kama spidi itakua ndogo basi output ya vpn itakua ndogo.


Ngoja wajuzi waje zaidi
 
Natamani wajuzi wa hii mambo ya vpn waje hapa watupe ukweli wa hili maana mi mwenyewe hiko kifurushi cha royal nakitamani sana tatizo ni speed yake kuwa slow sana ,

Kama jibu ni ndiyo je ni vpn zipi wazitaje zinazo boost kasi ya net, tusaidiane jmn maisha ya wabongo wengi hali ni mbaya basi tu
 
Mkuu nikupongeze kwa kuwaza nje ya box hili swala likisibitika kuwa speed ina ongrmezeka hata kidogo itakuwa imetusaidia wengi aiaee ila pia unaweza kifanya majaribio ww kweny kifaa chako maana mi nilitaka kujaribu ila hofu na wasiwasi ukawa mkubwa maana elf10 harafu net iwe slow itakuwa bonge la hasara ukizingatia net ya royal inakera sana mpaka unaweza kupausua simu kwa kutaka kupigiza kwa sakafu

Sjajiunga hiko kifurushi ni mda sana je bado kipo slow sana kama zamani maana mpaka watu tulikihama aisee
 
Sasa hivi unatumia kipi?
 
Jari Jaribu mkuu ikigoma kuna mijidakika kibao unajipigia
 
Sasa hivi unatumia kipi?
Now nahangaika tu sioni pa kutulia nipo na vifurushi vingine vya halo kapo naona vinawahi kukata tofaut na siku za nyuma wanakula sana mb watajitetea kwa kuwa now ni 4g

Picha ya 1 ni vifurushi vya wiki na ya 2 ni vya mwezi naona sio mbaya, kwa yeyote kama kuna mtu anaefahamu vifurushi vya bei chee zaidi jmn tufumbuane macho tuokoane na hawa wanyonyaji makampuni ya simi tz maana hatuna udungu nao au nyie mna udungu nao[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
 
Huwa inatokea kwa case fulani vpn kuongeza speed, mfano wame throtle speed port za kawaida kama 80 na 443 ambazo watu wanatumia kubrowse data ila port nyengine kama za ftp 21 hawaja throtle hapa vpn inaweza kusaidia kupata speed kubwa.

Ila kwa case ya Royal ya Halotel nimewahi jaribu wamebana kote kote vpn haita kusaidia.
 
Duh[emoji848][emoji848] asante sana mkuu kwa ushirikiano wako, hakuna mwingine alifanya kautafiti haka.
 
Duh[emoji848][emoji848] asante sana mkuu kwa ushirikiano wako, hakuna mwingine alifanya kautafiti haka.
Sema wana hizi line za Tanzanite ambazo vifurushi ni 20k, sijajua speed inadrop mpaka wapi.
 
Mkuu Mkuu ulitest kwa Vpn ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…