Kama kumbukumbu zangu zipo sawa Phiri alipewa mechi tatu na afikishe point 7,alishinda JKT Ruvu,leo amepoteza...kwa hiyo hata akishinda mechi ijayo bado hatafikisha point 7......Haya uongozi wa Simba tunasubiri utekelezaji wa kauli zenu.
Iwe kweli basi hiyo ya simba ukawa, tungoje hizo tano zilizobaki.Mtamfukuza tu, mdudu wa sare kafa kaibuka mdudu wa kufungwa. UKAWA wamesema Simba itapoteza mechi 6 mfululizo, bado 5 tu ndipo Aveva atatambua uwepo wao.
Kwani NserukuMBOO hayumo?
Ha ha ha nani hayumo ndugu DAKA MTUMBA?
Asanteni Sana Kagera Sukari. Hawa Maserunkuma Tutapumzika Kuwasikia Wiki Hii.
Tibaijuka 1-0 Mkamia ...Simba 0 Tibaijuka 1
Msubiri mtani jembe December 2015
Inawezekana giza hilo linatokana na wachezaji wa Yanga kufumba macho wakati wa mipira ya faulo ama kurushwa kwenda golini kwao!huwa siamini ktk nguvu za giza lkn nikifikiria simba wanavyoifunga yanga nashindwa kufuta kabisa dhana hiyo