Chambueni SOKA linaloendelea dimbani...acheni maneno, wengi wanategemea hii Forum ili kujua kinachojili uwanjani..
Chambueni SOKA linaloendelea dimbani...acheni maneno, wengi wanategemea hii Forum ili kujua kinachojili uwanjani..
Mnazi kweli ww
Hawa jamaa ligi yAo ni mechi dhidi ya ynga,hiyo mechi ikiisha wanainama wapita njia wajipigie wanavotaka
Mpira haueleweki, hakuna cha kuchambua Mkuu. Inasubiriwa miujiza tu.
UnzungumziAMbona tunashinda hii mechi??
uyu serenkuma movement zake sizielewi
Jamani tunaomba mtujuze baina ya simba na kagera wengine tuko mbali
Jamani tunaomba mtujuze baina ya simba na kagera wengine tuko mbali