Simba nawapa wimbo huu ikiwa ni zawadi kwenu.
Wimbo huu ni kwa hisani ya
Ambassadors of Christ, Remera SDA Church Choir, Kigali, Rwanda.
Ni kwa nini umeyaruhusu, ee Mungu Mwenyezii,yatusononeshee moyoni, kwa nini unaruhusuu, ona haya machoozi, tazama tunavyoliia,twajiuliza sanaa, Bwana, ni kwa nini uliyaruhusuu?
Nikumbukapo jioni hii, jioni ya huzuni nyiingi,ulipokubali Bwana kwamba wenzetu wapumzike, najiuliza moyooni, kwa nini BwanaMwenyeezi, umeruhusuu tuso-noneshwe kiasi hiki.
Mlipuko ni ghafla, tulipovamiwa naa mauti, Bwanaulimruhusu Ganta (Mtibwa)aiage dunia; ndugu Amosi (Azam),Manzi (Simba) kijana (Mnyama)mnyeenyekevu twawakumbukaa wote, hatutawasahau.
Twahuzunika Bwana, tena nawe wajuuaa, lakini kwahayo yote chukuliwa kwa matendo meema, uliyoyakubali wale watumishi waakowayatende katika siku hizo chache za maisha yao;
Twayakumbuka, maatendo yenu, mema yasiyoelezeekamlotenda duniani (uwanjani), twawakumbukatulivyoishi vizuri kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau.
Source:
https://www.youtube.com/watch?v=kjydLupvVrk