saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
Meneno kuntu.....:lol:Kwa hiyo udume wenu nyinyi ni kumfunga mbeya city tu, Mara ya mwisho nyinyi kumfunga Mnyama ilikuwa lini?
Meneno kuntu.....:lol:Kwa hiyo udume wenu nyinyi ni kumfunga mbeya city tu, Mara ya mwisho nyinyi kumfunga Mnyama ilikuwa lini?
Mkuu hivi mara ya mwisho simba kuchukua Ubingwa wa VPL ilikuwa mwaka gani vile?
Ule mwaka Obama alipoangua kicheko baada ya kuona score board ikionesha 5-0.
Ule mwaka Obama alipoangua kicheko baada ya kuona score board ikionesha 5-0.
Kwa hiyo udume wenu nyinyi ni kumfunga mbeya city tu, Mara ya mwisho nyinyi kumfunga Mnyama ilikuwa lini?
Mwenye matokeo atujuze jamani sisi tuliombali na nchi........la sivyo mi nasema ....Simba 0 Ndanda 4.
You are close to the truth although you are wrong.
The truth is:
Struggling Simba 3-0 Ndanda FC,
Relaxing Azam 4-0 Stand United.
Jery Muro sio shoga kweli wadau?