Naomba leo ushabikie Simba kwa ajili yangu. Simba 1-0 Ndanda na tunasubiri kupiga penati.
Updates jamani japo ni.mechi ya kirafiki
Utanisamehe tu Masuke tatizo siyo wewe, tatizo timu yako mikia. Siipendi kuliko timu zote ikiwa na Man U. Naichukia sitakuja kuishabikia hata sekunde...
Haya bana, lakini sio vizuri kuchukia kitu bila sababu ya msingi.
Nimechanganya na zangu.. ndiyo maana mahesabu hayaji.. Yanga Bingwa kwa mpira gani!1?
Ligi ya bongo mazingaombwe.. Huyo bingwa mwenyewe hana tofauti na anayechuka daraja.. Masau Bwile alisema kuna mazingira yasiyo na afya kati ya YANGA, Marefa na TFF yanayopelekea bingwa kupatikana kwa hila na si uwezo.. Alisema muda ukifika ataweka mambo yote hadharani..
Ila hata mm najiuliza Kandambili kuwa bingwa kwa mpira gani jamani???..
Simba 3 -0 Ndanda
Mikia efu sii leo imeona mwezi
Hawakawii kusema Masau Bwire ana kadi ya Simba SC.
Kilichosemwa ni kweli tupu na ndicho hata wadau humu tumekuwa tukisema kila mara. Simba pekee ndiyo yenye kushinda kwa haki, sare na kufungwa kwa haki kiwanjani.
Ukitaka kuliona hilo subiri Yanga akutane tena na Mnyama ndiyo maneno ya wadau yanapodhihiri.