VPL Leo: Simba vs Ndanda

VPL Leo: Simba vs Ndanda

Yanga ndiyo bingwa mpya 2014/2015 asiyetaka akufweee for us.
Hatuwezi zuia mafuriko kwa mikono, Yanga bingwa na kombe lazima lipite Msimbazi ndiyo liingie Jangwani. Mji utakuwa mdogo huu, watu watahama kwa muda.
Raha kuwa kwenye nyumba wenyeji wakimbie, mnajifanyia mtakacho.
Maana msimbazi tutakaa masaa kadhaa. Mkufwee vizuri...

#teamyanga #
 
Ligi ya bongo mazingaombwe.. Huyo bingwa mwenyewe hana tofauti na anayechuka daraja.. Masau Bwile alisema kuna mazingira yasiyo na afya kati ya YANGA, Marefa na TFF yanayopelekea bingwa kupatikana kwa hila na si uwezo.. Alisema muda ukifika ataweka mambo yote hadharani..

Ila hata mm najiuliza Kandambili kuwa bingwa kwa mpira gani jamani???..

Sasa kigezo cha timu kuwa bingwa ni kipi mkuu ?, au unataka lazima Yanga afungwe na Mbeya city, mgambo pamoja na Stand united ndiyo ungesema anastahili kuwa bingwa ?. Hao Ruvu shooting tungewaachia wacheze na Etole du Sahel unafikiri kingetokea nini uwanjani ?. Moro united aliwahi kuwa bingwa, raundi ya kwanza club bingwa aligongwa na Etoile Sahel goli 4 hapa, kule goli 5 bila. Simba nayo imegeuka kuwa wasindikizaji wa ligi kama wenzao ndiyo mana kinawauma
 
Yanga ndiyo bingwa mpya 2014/2015 asiyetaka akufweee for us.
Hatuwezi zuia mafuriko kwa mikono, Yanga bingwa na kombe lazima lipite Msimbazi ndiyo liingie Jangwani. Mji utakuwa mdogo huu, watu watahama kwa muda.
Raha kuwa kwenye nyumba wenyeji wakimbie, mnajifanyia mtakacho.
Maana msimbazi tutakaa masaa kadhaa. Mkufwee vizuri...

#teamyanga #

Bantu lady umekomaa tu na mashabiki wa mikia fc, watakutoa roho
 
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.
 
Simba wameanza ligi kuu sasa hakuna wa kuwazuia hadi ubingwa.
 
Mikia fc, wahapa hapa fc, wasindikizaji fc, Okwi fc, wadhulumiwa fc, 3rd position fc. Mapinduzi cup fc. Naona ndiyo mmeanza ligi, chezeni simple mana nafasi ya 3 ni yenu akuna atakaye wafikie pale. Tff inafanya mchakato kuwepo na mapinduzi cup mwakani ili mtetee taji lenu.
 
mrembo wetu kanuna kisa Mumewe anazini na mrembo kutoka Ndanda leo.
 
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.

pakashumi zinaongea leo...ule mpango wenu kaburu na tff wa kadi tatu Za njano kwa mchezaji wa mikia uliishia wapi maana siku mbaya city walipowazamishia viwili okwi hakuwepo na ikaelezwa eti anakadi tatu Za njano
 
Bila kumtaja kidume chenu Okwi bado katoto ketu tumboni mwenu hakajacheza bado.
 
Back
Top Bottom