VPL Leo: Simba vs Ndanda

VPL Leo: Simba vs Ndanda

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,092
Wakati watani zao Yanga afrika jana wakifanya kufuru ya kuwatandika ruvu shooting ya pwani goli 5-0, Leo timu ya simba sc itakuwa dimbani uwanja wa taifa kumenyana na timu kutoka kusini mwa tanzania Ndanda fc ya Mtwara.

Timu zote mbili zinahitaji point 3 ili kujiweka katika mazingira mazur kwenye msimamo wa ligi kuu.

Simba inahitaji point 3 ili kujiweka mazingira ya kushika nafasi ya pili ili mwakani iweze kushiriki mashindano ya kimataifa.
Huku ndanda wakitafuta point 3 ili kujiweka mazingira mazur ya kukwepa mkasa wa kushuka daraja.

Naitakia kila la kheir timu ya nyumbani NDANDA FC.
 
Wana Ndanda kuchele toka Gas City igeni mfano wa Mbeya City kuigaragaza mikia muendelee kubaki kwenye ligi mwakani
 
simba 1-1 ndanda .........ni utabiri wangu tu.
 
Wakumusi piga nyau hao libooolooooooo linatosha
 
Ndanda wakamieni Simba kama mlivyotukamia Kuala Lumpur
 
Ligi ya bongo mazingaombwe.. Huyo bingwa mwenyewe hana tofauti na anayechuka daraja.. Masau Bwile alisema kuna mazingira yasiyo na afya kati ya YANGA, Marefa na TFF yanayopelekea bingwa kupatikana kwa hila na si uwezo.. Alisema muda ukifika ataweka mambo yote hadharani..

Ila hata mm najiuliza Kandambili kuwa bingwa kwa mpira gani jamani???..
 
Changanya na yako!!
 
Nimechanganya na zangu.. ndiyo maana mahesabu hayaji.. Yanga Bingwa kwa mpira gani!1?
 
Kila la kheri Ndanda FC, friends of Ndanda tuko pamoja nanyi kwa shida na raha.
Piga mikia mkishindwa kabisa wabanieni hao.

#teamyanga #ndanda#
 
Kila la kheri Ndanda FC, friends of Ndanda tuko pamoja nanyi kwa shida na raha.
Piga mikia mkishindwa kabisa wabanieni hao.

#teamyanga #ndanda#

Naomba leo ushabikie Simba kwa ajili yangu. Simba 1-0 Ndanda na tunasubiri kupiga penati.
 
Back
Top Bottom