Vp ttcl modem inachakachulika

Vp ttcl modem inachakachulika

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Samahani wajumbe hivi modem ya ttcl inachakachulika na kutumia mitandao yote.
 
Samahani wajumbe hivi modem ya ttcl inachakachulika na kutumia mitandao yote.
Haiwezekani kutumia mitandao yote, labda utatumia kwa sasatel na zantel maana wanatumia teknolojia ya aina moja cdma

Hata hivyo kwasasa modem za ttcl,zantel na sasatel bado hazijapatiwa ufumbuzi wa kuzichakachua,
Best wishes
 
hebu niambie una modem ya model gani? huwawei nyingi zinachakachulika ila njia ndio tofauti kulingana na model ya modem.
baadhi ni ngumu na baadhi ni nyepesi
 
hebu niambie una modem ya model gani? huwawei nyingi zinachakachulika ila njia ndio tofauti kulingana na model ya modem.
baadhi ni ngumu na baadhi ni nyepesi
Mkuu tatizo la hizi modem hazitumii sim card, inamaana zinakuwa zimetengenezewa uwezo wa kuwasiliana na mtandao fulani tu(kunakuwa na kitu kama inbuilt simcard), hivyo ukitaka kuchakachua lazima uhusishe mtandao mwingine unao taka kuitumia baada ya kuchakachua ili waipe uwezo wa kuconnect na wao,
hizi za gsm ni rahisi unabadili sim card tu baada ya kuchakachua na unakuwa connected na mtandao ulio weka sim card yake.

Simaanishi haiwezekani lakini huo ugumu wake ndio kikwazo
Mimi nina sasatel sinahakika na mpangilio wa jina na model ya hii modem, haya ni maandishi yanayopatikana katk modem yangu
CDMA EV-DOrA Modem (SMU-101A) pia kwa ndani kuna stika ina no TS002044
 
Kama alivyoeleza Paulss post namba mbili usijisumbue maana hizi modem za CDMA hazichakachuliwi. Hackers bado wanatafuta ufumbuzi na hawajafanikiwa. Hivyo endelea kufaidi mtandao wa ttcl au ukiona huwezi donate kwa wengine hiyo modem au kama una hasira nayo itupe kabisaaaaa.
 
Back
Top Bottom