Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,212
- Thread starter
- #21
sasa wote tumepita huko ambao hawajapita huko wameanzia labda nyumba za urithi!!!!!! na wachache awlioanzia kota au waliopangiwa na makampuni na mashirika!!unashangaa hapo uko peke yako watu tumeanza na single rum afu tupo wanne na tuna mademu na tunatembelewa na ndugu!
Acha maskhara jamaangu, chumba kimoja watu wanne na mna madem!! na bado mnatembelewa na wazazi! ngumu kuamini aisee!!