Gari aina ya Toyota Voxy usajili T....CVH na Nissan X-trail usajili T.... CGP zinauzwa bei nafuu sana.
Tuwasiliane kwa simu 0752559510:
Gari zote zipo Arusha.
Samahani sana kwa usumbufu uliopata.
Nili upload nikadhani tumemaliza vyema, kumbe haikukamilika.
Napenda kusema leo ndio Nimepata muda kupitia tena hapa na nimekuta hali hii. Pia nimejaribu kuweka picha hapa lakini nimeshindwa. Naomba utembelee website ya OLX utapata picha zake. Naendelea kujaribu kuweka picha hapa na iwapo nikifanikiwa utaziona.
Ahsante na poleni kwa usumbufu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.