PesaApp ni app ya simu ambayo itahusika kusaidia ubadilishaji wa aina za fedha online kupitia simu ya mkononi nchini Tanzania na A.M kwa ujumla.
Wazo hili limeingia katika shndano la EQUITY BANK. Hivyo ili kulipgia kura unatakiwa kufungua link
Mambo Safi then utakuta menu inayoanza na Mimi ni mwanafunzi, shuka chini hadi
mawazo yetu click hapo then view Majina ya watu na mawazo yao hadi ukikuta
Abdul.M.M.Sungita then fungua kwenye
soma stori yote. Kisha click kwenye
Pigia kura kwa facebook unaweza rudia hata mara ya pili hadi litokee
Piga Kura then click hapo. Ukishapg utaambiwa ahsante na utaona idadi ya kura zinaongezeka. Ahsante, kura yako ni muhimu.