Vote for mt. Kilimanjaro now for the new wonders of nature

What's a ''wonder'' about it?The high sublimation rate of the snow?

Kupromote the fact that the mountain is indeed in Tanzania,is a different ishu altogether.But new wonders?I demand some convincing.
 
Sasa usichokubali ni nini? we piga kura. Wewe upo wapi? Hivi hujui kwamba Wakenya alitangaza sana kuwa mlima huu upo Kenya. Na watu wengi wanajua hivyo. Tunafanya kazi sana kuwa elimisha kuwa upo Tanzania. Watalii wengi huenda Kenya wakiaamini huo mlima upo huko. Na wanatumia njia za panya wafike huko mt. Kilimanjaro.

Sasa kwa nini watalii wasije Tanzania moja kwa moja?

Nimekutana na mtu ananibishia kweli kwamba mlima upo Kenya, yeye anarafiki mkenya na kamwambia eti jina Kilimanjaro linatokana na kikuyu, Kiswahili, Kenya n.k

Labda wewe unayetaka convincing huenda ni Mkenya.

Kila la heri.

Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno
 
So,let me get this straight.Tatizo ni kwamba mlima unakuwa promoted as if in Kenya,right?Well,this got more to do with the advertising aspect of our tourism sector.Which,of course,needs some serious fixing.Na kama umeelewa my initial post,I don't deny this fact.

But in wonders of the world!
What makes you think Mt.Kilimanjaro deserves to be one of the world's wonders?The height?The patterned climatic and thus vegetational changes from one area to another throughout the mountain?What exactly makes it a wonder?Is it the platitudinous paean from the countrymen who hardly see the need to climb a mountain of their own at a shameful cost of Tsh 1,500/= ?Or is it the cries of mountain porters and guides paid lowly for a service they provide so heartly?Tell me why and you can be sure to have my vote.

Na kama Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno,let them at least,realize the purpose of doing so.
As Bernard Weber neatly put it (and you of all should have picked that up),''If we want to save anything,we first need to truly appreciate it.''

Yours.
 
Last edited:
Guys we are talking about the WONDERS OF NATURE kwa sababu nature imefanya mambo yake ya kushangaza pia na mojawapo ni Milima na vitu vingine vingi.Tukivote Kilimanjaro ni njia mojawapo ya kutangaza Mlima Kilimanjaro kuwa upo Tanzania.Likini there is one problem,nimefollow the link that was given and i cant see Mt.Kilimanjaro as a nomenee sasa sijui imetolewa kwenye orodha sababu ya kukosa votes au vipi,sielewi....
 
Ziadi ya Mlima Kilimanjaro unaweza kuvote kwa Ziwa Tanganyika, Victoria na Bonde la Ufa..
 
Back
Top Bottom