VOTE for K 4 REAL- Kilimanjaro Music Award

team domo hawajielewi tunzo nyingi sio sababu
mbona kinondoni wamepata tunzo juzi tu wakati mafuriko hayaishi?
 
Sio swala la nani ni King wa r&b ni hilo jibu lakusema kuwa anajulikana na fulani ndio sio jibu la ANAYEFAHAMU MUZIKI nilitegemea kusikia ana tuzo za nje kadhaa ...n.k.

Kwahiyo wewe UNAYEFAHAMU MUZIKI kipimo cha mwanamuziki bora ni tuzo za nje kadhaa?
Najua unajua matumizi ya hapo nilipopigia mstari inamaanisha nini ila unafanya makusudi
 
Mwaka huu hadi Mwana lazima iwe video bora ya mwaka, TeamKiba wamecharuka hawataki utani vijana wanapiga kura kama hawana akili nzuri
 
Sasa kama umeshindwa kuitolea maana sababu uliyoitoa mwenyewe hizo ambazo hujazitoa utaweza kweli?
Wewe umesema Kiba akiingia humu atajisikia vibaya kuona majibu yanayotowela na fans wake kwa mtu ANAYEFAHAMU MUZIKI ulitegemea kusikia ana na tuzo za nje kadhaa na hizo n.k zako.
Makusudi yako wapi hapo? Nimekuuliza swali la tofauti na ulichokiandika?
 
Hahahahaaa King karudi bwana, sasa hivi napiga kura kwa raha sana maana nimeikosa hii NAFASI kwa miaka kadhaa sasa.
Hii ndio time ya kushow love kwa King Kiba!
 
Sasa kama umeshindwa kuitolea maana sababu uliyoitoa mwenyewe hizo ambazo hujazitoa utaweza kweli?
Wewe umesema Kiba akiingia humu atajisikia vibaya kuona majibu yanayotowela na fans wake kwa mtu ANAYEFAHAMU MUZIKI ulitegemea kusikia ana na tuzo za nje kadhaa na hizo n.k zako.
Makusudi yako wapi hapo? Nimekuuliza swali la tofauti na ulichokiandika?
Ok, ngoja tufanye hivi, kati ya vitu vinavomfanya msanii kuwa juu ni
  1. 1 -KUUZA NYIMBO AU ALBAM =maana yake ni kwamba kama msanii unampenda basi utanunua kazi zake na si kupiga kelele kwenye mitandao, kuzomea au unajulikana na msanii gani
  2. MATAMASHA = Amefanya matamasha ya nje na ndani kwa kiasi gani kwa maana ya kwamba pesa ambayo ameingiza na yalijaa kwa kiasi gani
  3. TUZO =Tuzo ni jambo muhimu sana kwa msanii, kapata ngapi na za nje kapata ngapi.
  4. MATANGAZO= kama msanii anakubalika sana na jamii ndipo makampuni yanapotaka wamtumie ktk kutangaza biashara zao.
Kwahiyo hayo ndo nilitaka kuyasikia kutoka kwa mleta mada na si kutuambia kwamba anajulikana na R Kelly na wala sikuulizi kama R Kelly kama anakumbuka kukutana na mtu kama huyo kwa sababu si vigezo vya msanii bora.
NA HAYA NI KWA MUJIBU WA MATAIFA YALIYOENDELEA NDIO KANUNI WANAZOZITUMIA KATIKA KUPATA MWANAMUZIKI BORA
 
Hahahahahaaa nisikufiche nimecheka sana.Hata sijui kwanini na pia nimejikuta napata maswali mengi sana.Ila bora nikae kimya na tuishie hapa.
 
Don't waste ua time my dia arguing with people who can't understand what others like and appreciate na wakipendacho waache hivo hivo wengine wana stress za kutokujiamini.
 
Hahahahahaaa nisikufiche nimecheka sana.Hata sijui kwanini na pia nimejikuta napata maswali mengi sana.Ila bora nikae kimya na tuishie hapa.
Nimepata furaha kwa kuwa umecheka nipo hapa DJ na muandaaji wa matamasha mstaahafu wajuzi wa burudani tunaojua kanuni na miiko yote ya muziki niulize hata kama ni la kipuuzi tupo tusioongozwa na ushabiki wa kanichukulia dada/demu wangu
 
nielekeze

Anza kwa kutuma neno lolote mfano BB1 halafu watakuambia chagua lugha uchague Sw au Eng.Baada ya hapo watakuuliza tarehe yako ya kuzaliwa ukishajibu watakuletea vipengele wewe utavichagua utakuta washiriki na code zao.Wewe chagua Code za Kiba na utume halafu watakuambia Hongera kura yako imepokelewa........
Ukishindwa sehemu niulize.
 
Back
Top Bottom