vorkswagon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vorkswagon

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by siemens c25, Apr 2, 2012.

 1. siemens c25

  siemens c25 Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamaa alikuwa safarini kikazi akafikia guest sikuiyo alijiona mnyonge akaamua kumuuliza muudumu m1 wa kiume kuwa anashida na demu muudumu akamwambia mademu wapo ila sisi tunawatambua kwa majina ya magari jamaa akasema sasi niitia benz muudumu akasema limetoka sasaivi"ila limebaki vorkswagon tu nikuitie!jamaa akasea niitie tu nipo chumba no13 jamaa akaenda chumbani daada ya muda akagongewa na aliingia mwanaume shoga jamaa akamaind sana akamfata muuduma na kumuliza kwanini umeniletea shoga muudumu akamwambia iyo ndo vorkswagoni coz injini yake ipo nyuma.
   
 2. a

  amiride JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  du inakumbusha ya yule jamaa alikwenda kwenye mji midume mitupu akauliza ukitaka demu unafanyaje wenyeji wakamjibu we ingia msituni chukuwa mnyama unaempenda njoo umalize shida zako. jamaa kaingia msituni akachukuwa kijinguruwe ile kuingia nae hotelini watu wote wakakimbia kuuliza mbona mnakimbia wakamjibu umechukuwa bibi wa mwenyekiti na ugomvi wake hatuuwezi
   
Loading...