Volunteers wanahitajika

Volunteers wanahitajika

TRUE ROAD

New Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Kampuni ya TRUE ROAD TECHNOLOGIES LIMITED- Inayojihusisha na Career and Personal development inaandaa mtandao wa wanafunzi vyuoni ambao wanahitajika kushirikiana na kampuni katika kuwajengea uwezo wanafunzi vyuoni ktk career & personal development.

Wanahitajika wanafunzi wa kujitolea kufanya kazi pamoja na shirika hili, japo kutakuwa na malipo kidogo kwa commission kwa jinsi ambavyo kila mlengwa atashiriki.

Kujiandikisha tuma maombi yako kwenda, info@trueroadtechnologies.com AU ujumbe kwenda 0656 487215, ukitaja jina lako, chuo unachosoma, na course unayosoma.-Vyuo vinavyolengwa hapa ni vyuo vyote kama vile, vyuo vikuu, vyuo vikuu vishiriki, vyuo vya VETA nk....

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 February, 2013.

Kwa maelezo zaidi kuhusu kampuni pitia Welcome to True Road Technologies | True Road Technologies


Wenu,
Christopher Andendekisye,
Mkurugenzi Mtendaji
 
Back
Top Bottom