Hi wakuu, siku hizi Kuna tabia ya walimu waliohitimu vyuo, kujitolea kwenye shule za serikali na kupata ujira mdogo
Vipi nataka nijilipue nine kujitolea kwenye international school, mwenye kujua changamoto kwenye izo shule anijuze,,,asa changamoto ya kupata chance kwenye izo shule