vodafone webbox

vodafone webbox

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,043
Reaction score
263
jamani vp kuhusu ufanisi wa hii bidhaa mpya ya vodafone webox? yaani speed yake? na kama inachakachulika ili tuweze kutumia ktk mitandao mingine. naomba kujuzwa tafadhali.
 
dah ndugu nilitaka kuanzisha uzi kama huu.nimechanganya na matangazo yao.
 
Posts kuhusu Webbox mbona ziko nyingi tu humu na tumechangia sana; ila kwa kifupi msiingie mkenge. Webbox ni toy.
keyboard yenye gprs? halafu kwa 180,000? halafu ukodolee macho Tv? kusoma slow loading web pages kupitia opera mini ambayo haina flash-player?
Video au animation haziwezekani kwa hicho kitu.
Poor image quality etc. nunua hata netbook
 
Back
Top Bottom