Vodacom

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,058
Reaction score
2,160
Heri ya mwaka wana jf!Hivi mimi sina network au vodacom hawana network?Naomba mnisaidie wanajf!May b tunaoanza na code 0756?
 
Umesahau watanzania walio wengi hatufanyika kazi pasipo kusukumwa, subiri wazungu wao warudi vacation ndo uwajibikaji utarudi kama kawaida!
 
hyo network kama simu yako haina band nying lazma isumbue ... Mana toka jana watu Wako busy sana na simu... Na kuforwadiana ma sms... Pole
.
Me toka uanze mwezi december 2013
.
nimejiunga Cheka bombastik zaid ya mala 20
.
ila sijawahi pata sms ya kifurushi changu kimeisha mpaka nipige *147#
.
ila namba hii 15544 Ndo kihele hele kwely
 
Mkuu hii namba 15544 kwangu imekuwa kama dozi yaani ni asubuhi, mchana na jioni, saa nyingine hadi night kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…