CABANA
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 422
- 557
Habari zenu!!! hawa voda baada ya kuweka cheka ya 1000 yaana *147*1000` wakaniletea sms kwamba nimepewa kifurushi cha internet bila kikomo masaa 24. nami bila hiana nikaanza kukikamua. Kumbe lilikuwa ni boya basi pesa yote kwenye simu imekwisha na kilichobaki ni sms 1000000 yaani 1mil, na kupiga voda to voda sec 3000. sasa mimi sizielewi huduma hizi, OVYO KABISA...WAJIFUNZE KUWA WAAMINIFU.:disapointed: