jamshidamri
Member
- Aug 27, 2015
- 79
- 27
Hivi yule jamaa aliyekuwa anawashtaki Voda aliishia wapi maana sasa hizi bando tunaibiwa sio mchezo. Hivi unawezaje kuuza mabando umeandika siku nzima, baada ya kununua meseji inakuja inasema bando linaisha saa kumi jioni. Baada ya masaa 24 umetumia masaa 6 bando nimenunua saa nne asubuhi limeisha saa kumi jioni.
Menu yao ipo hivi:
Menu yao ipo hivi: