Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,888
- 16,120
Uko sahihiMb ndio kitu hizo dakika sio kitu kwangu.
Kuna hatarii ya kupotea kwa vifurushi vya dakikaaaUko sahihi
Hawa halotel nao wamekuwa wezi tulikuwa tunanunua kifurushi cha 1999 cha internet walikuwa wanatoa 500 mb wamepunguza mpaka 330.haloteli kaanza kuwashika taratibu/mdogo mdogo.
Umeifichua tabia yako,...........Kwaiyo mb vp..maana voda na tigo aisee mb majangaaa.....but voda net ipo faster kuliko tigo..........tigo kwa mkoa km wa mbeya kuna sehem zingine n kama umetongaza katoto ka primary mala kanakubali baadae kanakataa tena ...hivyohivyoo...wanazingua sana tigo
Toa taarifa kwa Mods wanipe ban ya mweziWALEJEA ndio kufanyaje? au sawa na kulegea?Au una maanisha WAREJEA kwa maana kurudi? Kiswahili taabu hata kwa Mtanzania jamani.
Tabia gan mkuu.....??Umeifichua tabia yako,...........
Ni kama umetongoza katoto ka primary hahahahaahaaaaKwaiyo mb vp..maana voda na tigo aisee mb majangaaa.....but voda net ipo faster kuliko tigo..........tigo kwa mkoa km wa mbeya kuna sehem zingine n kama umetongaza katoto ka primary mala kanakubali baadae kanakataa tena ...hivyohivyoo...wanazingua sana tigo
Mimi niliachana nao kabisa kwenye kupiga simu nikabaki nao Huduma ya m-pesa na kuibia mara 1 1 kwenye internet tu! Wameufyataaaaaa!!!Wamegundua tumewakimbia, mimi binafsi nilipunguza matumizi yangu ya mawasiliano kwa Voda kutoka elf 60 kwa mwezi hadi 15. Nililazimika kuhamia airtel na tigo
Kanunue university sim card wanatoa kwa yeyote, mb500 kwa 500 elfu tu(Wiki moja) ni maamuzi yako ununue mara ngapi hizo mbs.Hizi line za kawaida ni kweli wameshusha..kuna tetesi kuwa hao wengine walitia mtima nyongo kipindi wanaanza.Kiuhalisia halotele wakiendelea kujiimalisha zaidi na zaidi watahamisha wengine.Hao wengine si walileta madoido wakijua kuwa ni wao tu..watatufuta mdogo mdogo.Tumeanza kuona baadhi ya sehemu.Dunia kwa sasa inahitaji INTERNET SERVICES YENYE UHAKIKA KWA 80%..sio ubabaishaji..wabadilike na waache kukariri.H
Hawa halotel nao wamekuwa wezi tulikuwa tunanunua kifurushi cha 1999 cha internet walikuwa wanatoa 500 mb wamepunguza mpaka 330.