Thye good thing about ZAIN ni kwamba kama simu yako ina uwezo wa GPRS, unapoingiza sim card yao tu, settings za WAP unapata automatically, bila hata ya kuwasiliana nao. Vile vile, ni rahisi kupata settings za WAP za VODA kupitia website yako, kwa kuchagua aina ya simu na namba unayotumia. Hii ni kwa wale ambao wanafahamu. Kwangu mimi naona ni vigumu kupata settings za TIGO na ZANTEL kwani hakuna mahala ambapo wanakupa maelekezo na kuwapata Customer Service ni next to impossible. Customer service ya TIGO ilikuwa Nairob. Sijui kama wameacha mtindo huo.
Swali ambalo ningependa kuuliza hapa ni settings zipi ambazo inabidi niziweke kwenye computer yangu niweze kupata mtandao kupitia simu yangu. Nilijaribu siku za nyuma na niliweza kupata mtandao kwa kutumia Nokia PC Suite ingawa si kila mara. Lakini sasa kila nikijaribu sipati connection! tatizo ni nini?