Vodacom WAP.Ni sababu ya kuhama mtandao!

Nilikuwa mteja mzuri wa vodacom services ikiwemo wap iliyonisaidia ninapokuwa interior na simu yangu unaona.Sasa recently nimeformat p.Memory na automaticaly nikadelete configaration yao.Sasa nikajaribu kuapply upya,jamaa wakakataa siwezi kupewa hiyo huduma mara mbili!.....Tayari nimehama nadunda na ZAIN.Rafiki vipi,nyie hayajawakuta ili tuhame wengi?

hilo tatizo lipo sana tu,eti ukishajiunga huruhusiwi tena,sijui hawafahamu kuwa kuna kununua simu nyingine ukataka uunge.mimi mara nyingi simu inaingiliwa virus kwahiyo huwa naenda kuiflush na automaticaly ukiflush configuration inajifuta mpaka uunge upya.sasa ukijaribu kuunga inasema,'YOU ALREADY HAVE THIS SERVICE'.
Kwahiyo hapo inabidi utafute line ingine hata kwa kuazima kwa mtu ambae bado hajaiunga line intanet ili uitumie kwa kuiunga simu yako.usumbufu sana.
 
lahaula!!!!!!!!!!!!!!!!! ni kweli. itabidi tuhamie kwenye DU AU ZAIN
SASA SIJUI UNAFANYAJE KWA HAWA JAMAA MAANA NIMETOKA KUNUNUA LINE MPYA YA ZAIN 0788-----ILA NILIPOPIGA CUSTOMER SERVICE NIKASIKIA KAMUZIKI FULANI HALAFU BAABA YA MUDA NIKAAMBIWA BONYEZA MOJA... MARA NAAMBIWA TATU EEEH HUKU NAKO NIKASIKIA AHSANTE KWAHERI WHAT IS THIS? UPUUUZI MTUPUUUU. EENZI ZA VODA!!!!! WE ACHA TU

kujiunga zain unatuma neno,INTANET Kwenda namba 132.watakupa msg ya kukubaliwa ambayo inakua activated ndani ya saa 24.
 
hilo tatizo lipo sana tu,eti ukishajiunga huruhusiwi tena,sijui hawafahamu kuwa kuna kununua simu nyingine ukataka uunge.mimi mara nyingi simu inaingiliwa virus kwahiyo huwa naenda kuiflush na automaticaly ukiflush configuration inajifuta mpaka uunge upya.sasa ukijaribu kuunga inasema,'YOU ALREADY HAVE THIS SERVICE'.
Kwahiyo hapo inabidi utafute line ingine hata kwa kuazima kwa mtu ambae bado hajaiunga line intanet ili uitumie kwa kuiunga simu yako.usumbufu sana.
Pia ukiback up mafaili yako na settings kwenye memory card utakapoflash simu unarestore. Baada ya kirestore utakuta kila kitu kimerudi mahali pake hata internet settings utazikuta.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom