Vodacom WAP.Ni sababu ya kuhama mtandao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom WAP.Ni sababu ya kuhama mtandao!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Konzogwe, Feb 20, 2009.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa mteja mzuri wa vodacom services ikiwemo wap iliyonisaidia ninapokuwa interior na simu yangu unaona.Sasa recently nimeformat p.Memory na automaticaly nikadelete configaration yao.Sasa nikajaribu kuapply upya,jamaa wakakataa siwezi kupewa hiyo huduma mara mbili!.....Tayari nimehama nadunda na ZAIN.Rafiki vipi,nyie hayajawakuta ili tuhame wengi?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Ukienda online www.vodacom.co.tz kuna link unaingiza namba yako wanakutumia settings, umeongea na mtu asiyejua kinachoendelea probably.
   
 3. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 60
  mmmh. kwanza ukiformat simu sio lazima uwapigie wao ili wakupe settings bali unatuma sms yenye neno wap____ ____ kwenda 15300 halafu una accept settings kwa kuweka pin 1234. au unatuma neno wap halafu first 8 digits za IMEI yako kwenda 15300 then una accept hizo setting. au wewe unaongelea kitu kingine?
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  WAP ni nini?
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mtandao kwenye simu.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tatizo la voda ni customer service hawajui wana chkifanya, inaonyesha wanawa weka watu kwenye customer service bila kuwapa training ya kutosha, ilimradi wao wajibu simu tu, baada ya hapo utumbo mtupu.

  Customer Service Manager wao nadhani ametokea enzi za Posta na Simu, ambao hawajui maana ya huduma kwa mteja ni nini.
   
 7. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  WEWE KAMA UNATUMIA WAP YA VODA JARIBU KUFORMAT THEN TUMIA HIYO PROCESS UTANIAMBIA.
  Wameshabadirika sio kama zamani.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
 9. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 60
  lahaula!!!!!!!!!!!!!!!!! ni kweli. itabidi tuhamie kwenye DU AU ZAIN
  SASA SIJUI UNAFANYAJE KWA HAWA JAMAA MAANA NIMETOKA KUNUNUA LINE MPYA YA ZAIN 0788-----ILA NILIPOPIGA CUSTOMER SERVICE NIKASIKIA KAMUZIKI FULANI HALAFU BAABA YA MUDA NIKAAMBIWA BONYEZA MOJA... MARA NAAMBIWA TATU EEEH HUKU NAKO NIKASIKIA AHSANTE KWAHERI WHAT IS THIS? UPUUUZI MTUPUUUU. EENZI ZA VODA!!!!! WE ACHA TU
   
  Last edited: Feb 21, 2009
 10. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwanini wap? Mbona simu zina uwezo "web" sawa na pc! Kuna setting za aina mbili katika simu, (1) wap connection. ambayo inatumia ambayo hii ni default browser katika simu, hii haina uwezo mzuri wa ku-load web site. (2) internet connection ambayo intumia apps kama oper, ucweb, nk. Hizi ni browzer ambazo zitakufanya uload page kwenye simu yako sawa na mwenye pc. Watu wengi sasa wanatumia zaidi simu ku-surf kuliko pc. Muhimu uwena simu yenye uwezo kidogo kama n70 na kuendelea. Hapa mimi natumia simu.
   
 11. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  zain ana speed nzuri lakini gharama mmb! Zain sh 500 par 1mb, voda sh 250 par 1mb, Tigo sh 300 par 1mb, Zantel sh 120 par 1mb.
   
 12. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  NINAYO NOKIA 6630,NATUMIA SOFTWARE YA OPERAMINI NAIAMINI SANA.Nisaidie kujua nyingine bora zaidi ambayo ni compatible na simu yangu.Natanguliza shukrani.
   
 13. C

  Chief JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Thye good thing about ZAIN ni kwamba kama simu yako ina uwezo wa GPRS, unapoingiza sim card yao tu, settings za WAP unapata automatically, bila hata ya kuwasiliana nao. Vile vile, ni rahisi kupata settings za WAP za VODA kupitia website yako, kwa kuchagua aina ya simu na namba unayotumia. Hii ni kwa wale ambao wanafahamu. Kwangu mimi naona ni vigumu kupata settings za TIGO na ZANTEL kwani hakuna mahala ambapo wanakupa maelekezo na kuwapata Customer Service ni next to impossible. Customer service ya TIGO ilikuwa Nairob. Sijui kama wameacha mtindo huo.

  Swali ambalo ningependa kuuliza hapa ni settings zipi ambazo inabidi niziweke kwenye computer yangu niweze kupata mtandao kupitia simu yangu. Nilijaribu siku za nyuma na niliweza kupata mtandao kwa kutumia Nokia PC Suite ingawa si kila mara. Lakini sasa kila nikijaribu sipati connection! tatizo ni nini?
   
 14. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .
  Nokia 6630, sio mbaya download "ucweb6.3",frendzforum.Org, kama unatumia Voda download "ucweb5.10" wap.Ucweb.Com
   
 15. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  .
  Nokia 6630, sio mbaya download "ucweb6.3",Frendz Forum , kama unatumia Voda download "ucweb5.10" http://wap.Ucweb.Com
   
 16. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kama ume-install pc suit lazima upate connection muda wote.Unapo badisha laini kwenye simu yako lazima ubadili "ISP" name kwenye pcSuite au "Access point" iwapo ISP hayumo katika list. TIGO, VODA, ZAIN. tumia neno "INTERNET". Kwa ZANTEL tumia neno "ZNET", Kama Access point.
   
 17. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama simu yake inapata IP automatic itakuwa nzuri aweke getway au APN ya Voda ni Internent kama jamaa alivyosema ip itaobtain automatic NB: Domain ni Vodacom usipoweka domain name inasumbua sana ususani simu zenye window mobile,hii nilifanya kwenye PDAL yangu ndo nikafanikiwa.
   
 18. C

  Chief JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  It WORKED!! Shukran sana.
   
 19. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli nyumbani shughuri!! hata simu inabidi uhangaike nazo? hapa, as long as roaming setting zipo On, kila unakokwenda simu yako ina sync na network ya sehemu hiyo bila hata kuigusa. Inabidi wapunguze access fee kwani inaonyesha kila mteja lazima awe mtaalamu kiasi fulani.
   
 20. Caashiere

  Caashiere Member

  #20
  Jun 7, 2013
  Joined: Dec 27, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mi nasepa na WiFi tu huku network mizinguo sahiz dah
   
Loading...