Vodacom wanazingua

Vodacom wanazingua

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Nimejiunga wajanja lkn net hakuna sio kwa simu wala moderm au kwangu tu hebu nisaidieni
 
Mkuu hawa watu sijui wapoje, wajinga sana wamekata ilihali wameshalamba jero yangu. Sina hata hamu nao
 
The same here, najaribu ku subscribe kwenye line nyingine.
 
Nimejiunga wajanja lkn net hakuna sio kwa simu wala moderm au kwangu tu hebu nisaidieni

Nami yamenikuta sasa hivi. Lkn hawa jamaa pia ni wezi mbona natumia intrnet yao kupitia airtime baada ya kushindikana kununua bundle.
 
Nimeweka line kwenye simu imekubali nimeweka kwenye moderm hamna net poa washatukula jero jero zetu
 
Mkuu hawa watu sijui wapoje, wajinga sana wamekata ilihali wameshalamba jero yangu. Sina hata hamu nao

Jana nilijiunga na cheka yao, ile kujiunga tu wakanipa msg salio halitoshi! Nilipopiga customer care, msg inakuja ati ukijiunga na cheka ati unaingizwa moja kwa moja kwenye bahati nasibu! Yaani wanalazimisha wateja kuingia kwenye bahati nasibu.
Nimeamua liwalo na liwe, lazima nitume malalamiko yangu TCRA ingawa siwaamini sana maana serikali yetu inawaogopa sana wawekezaji.
 
Mimi mwenyewe wamekula nauli yangu na basi linagoma kwenda!

Kama vipi waturejeshee nauli zetu tupande mabasi mengine!
 
Washarudi hewani wacheki fresh

Lkn siku nyingine sio mnapalamia usafiri ambao haujaeleweka kama utasafirisha vizuri
 
Ngoja nilale zangu wabarikiwe kwa kuchukua nauli zetu wakati safari hakuna
 
Yaani hawa wawekezaji wanavumiliwa mpaka nafikia kuamini huenda waliobeba dhamana ya uongozi nchi hii wana manufaa binafsi wanayopata ! kama nakosea Mungu nisamehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom