Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,493 Reaction score 9,261 Jun 3, 2026 #41 Bush Dokta said: Hizi mambo mambo zisikie kwa wengine, imenitokea Leo jioni nimetuma kutoka Halopesa kwenda Mpesa mpaka sasa Mpokeajo anasema pesa haioni Click to expand... Ndio mana tuna sim card zaidi ya Moja aisee mana ni shida sana
Bush Dokta said: Hizi mambo mambo zisikie kwa wengine, imenitokea Leo jioni nimetuma kutoka Halopesa kwenda Mpesa mpaka sasa Mpokeajo anasema pesa haioni Click to expand... Ndio mana tuna sim card zaidi ya Moja aisee mana ni shida sana
S Shytown JF-Expert Member Joined Nov 2, 2025 Posts 953 Reaction score 1,681 Jun 4, 2026 #42 Voda wapo vizuri sana ILA naona jana kulikuwa na tatizo la mtandao japo walio tuma Voda kwenda Voda zilifika bila shida...
Voda wapo vizuri sana ILA naona jana kulikuwa na tatizo la mtandao japo walio tuma Voda kwenda Voda zilifika bila shida...
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,429 Reaction score 69,228 Jun 4, 2026 #43 Shytown said: Voda wapo vizuri sana ILA naona jana kulikuwa na tatizo la mtandao japo walio tuma Voda kwenda Voda zilifika bila shida... Click to expand... Je hela yeti utarudi?
Shytown said: Voda wapo vizuri sana ILA naona jana kulikuwa na tatizo la mtandao japo walio tuma Voda kwenda Voda zilifika bila shida... Click to expand... Je hela yeti utarudi?