VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

Jamani active SIM Card ya network yoyote ni tracking device! msiwaonee Vodacom tu! wanaojua telecom engineering wanaweza wakaeleza vizuri how you can track an active subscriber.
 
Mkuu umeuliza maswali mengi MIMI SIO KIONGOZI WA CHADEMA KUKUPA HIZO DATA NA MIM SIO MAFANYAKAZI WA VODACOM
KUTOA STRUCTURE YA OWNERSHIP
 
Kumbee. Pole sana RA. Chadema if at all it is true, act quickly to device other means/alternatives!
 
Watanzania tusikate tamaa hawa akina Rostam wanakwao hao, ipo siku watakuja kuukana uraia wao na kurudi kwao, tusimame imara katika kutetea haki zetu, awe slaa, kikwete, lipumba, au mwingine sawa tunachotaka sisi ni mtu mwenye dhamira ya kweli kuijemga nchi kwa kushirikiana na wananchi na si kuweka maslahi yake mbele, kila kitu kinawezekana, what matters is time,
 
hivi hii kampuni haikuuzwa kwa Vodaphone?
anyway tumieni ZAP kutuma pesa chadema kwa urahisi, kama uongozi umeona hili si jungu, wahapie ZAP chap chap
 
I always disliked Vodacom. Now at least I have got a reason.
 
hata Muhando tido alituambia hivohivo lakini uzalendo ulimshinda alipoona mabwana zake wanaadhirika pale jangwani akaagiza wasitishe matangazo......unaweza ukawa uko sahihi kwako binafsi lakn usijue wenzio wako mlengo gani kama akina Mwamvita....i know its very possible kuprint sms za wateja na hata kurecord simu za wateja au hata kuziredirect sehemu nyingine...mteja anapokea na intruder anapokea na kusikiliza at the same time and even kurecord...wateja, you are not safe on mobiles especially sasa ambapo namba zinajulikana ipi ni ya nani...lakini unaweza pia kutumia line ya mtu ambaye siyo popular and may be emails.
 
Hapo kwenye nyekundu
 
hivi hii kampuni haikuuzwa kwa Vodaphone?
anyway tumieni ZAP kutuma pesa chadema kwa urahisi, kama uongozi umeona hili si jungu, wahapie ZAP chap chap
no....waliwapa contract ya kurun kitengo cha marketing au M pesa ila wamiliki ni walewale....kama ni kweli wanafanya huo upuuzi basi wabadharau sana ..wanawadharau watz sana...hiyo kitu hakuna kampuni inaweza kufanya katika mazingira ya kawaida mpaka wameleta dharau kwamba hayana madhara haya matz...no wonder i purposely lost my voda SIM
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Sasa wewe na busara zako,unadhani Vodacom wana huruma kiasi hicho?Yaani utoe mchango wako kwa Chadema kisha wao wasiukate kwenye salio lako!

Jamani,kamwe tusizowee mapungufu.NEVER SETTLE FOR LESS,AND NEVER LOOK FOR EXCUSE TO DEFEND THE CARELESS.
 
Jamani active SIM Card ya network yoyote ni tracking device! msiwaonee Vodacom tu! wanaojua telecom engineering wanaweza wakaeleza vizuri how you can track an active subscriber.

Uko sahihi mkuu. Hata kwa kutumia serial number ya handset, achilia mbali SIMCARD wakiamua kukutrack wanakutrack.

Ila ukiwa na line ya Zain unakuwa na advantage ya ziada na unaweza kuwapiga dariz wale wanaotaka kukutrack
 
Onyo: Hizi namba za kugawana mtandaoni waweza kujikuta unawachangia thithiemu!

Usihofu Mkuu hizi namba sio siri.
Ilitangazwa Jangwani kweupe na hata kwenye CHADEMA.NET ipo mkuu
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Mbona unakuwa na haraka ya kuhukumu wewe?Kwa nini na wewe usifikiri kuwa sababu ya ndugu yetu kuleta hili suala kwenye board ni kwa kuwa hakuna ongezeko la michango kwenye account za wahusika licha ya kuwa watu wamekuwa wanasema wanachangia?
 
Uko sahihi mkuu. Hata kwa kutumia serial number ya handset, achilia mbali SIMCARD wakiamua kukutrack wanakutrack.

Ila ukiwa na line ya Zain unakuwa na advantage ya ziada na unaweza kuwapiga dariz wale wanaotaka kukutrack

Hapo wewe unapiga kampeni
 
Sio kweli Mkuu. Nina rafiki yangu ana print out zaidi ya nne za msg za mchumba wake aliyemhisi anacheat. Alienda pale VODACOM makao makuu, ambapo anafahamiana na mtoa huduma mmoja, akamlipa sh 50,000 zikaprintiwa msg za mchumba wake kibao..
 
Kususia nini ndugu yangu? Uchaguzi au Vodacom, kama nilijua vile huwa situmii mtandao wa Vodacom, Tigo pia wameanziasha huduma kama M-pesa labda tujaribu huko jamani, Wapi Zitto?
 
Hizo nI maadili mema na kampeni za kistaarabu za CCM!
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Hizi ni transaction za account za simu kwa pesa uliyonayo kampuni ya simu haiwezi kukulipia kwa namna yo yote. Kwa hili nadhani unakiri ulikuwa unafahamu mchezo huu. It is unethical kuingilia mawasiliano halali kama hayo mbaya zaidi kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…