tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,425
- 4,774
Tazama hapa tz ndiyo tunaongoza kwa kuuza data bei rahisi kuliko wote.
Nimeskia juzi mfanyakazi wa TCRA akitetea hizi kampuni,mi shida yangu ni huduma mbovu za makampuni ya simu hapa Tanzania,ukiwa mteja wao huna uhakika wa huduma bora na hili limekua kilio cha muda mrefu sana na linakera,unaweza usiwe hewan hata 3 hrs,ukija kuuliza kampun husika watakujibu kirahis sana kuwa kulikua na matatizo ya kiufundi tuwie radhi,ndo wamemaliza hapo,lawama nazipeleka KWA TCRAHuku kwetu TCRA inawaangalia tu hawa jamaa, wamepunguza kiasi cha MB unachopata to almost half
Halafu unavocompare vifurushi vya nchi mbalimbali mbona huangalii cost of living na purchasing power
e.g a bus ride in Canada costs 2.50 CAD dollars,which is almost 4000 tsh, lakini nauli ya daldala kwa Tz ni tsh 400 tu. Je daladala zikipandisha nauli, tusilalamike kisa tu nchi fulani wanalipa bei juu zaidi for the same service
Yaani utafikiri hiki chombo hakifanyi kazi, wao kila siku kung'ang'ana na redio companies na kuzipiga fineNimeskia juzi mfanyakazi wa TCRA akitetea hizi kampuni,mi shida yangu ni huduma mbovu za makampuni ya simu hapa Tanzania,ukiwa mteja wao huna uhakika wa huduma bora na hili limekua kilio cha muda mrefu sana na linakera,unaweza usiwe hewan hata 3 hrs,ukija kuuliza kampun husika watakujibu kirahis sana kuwa kulikua na matatizo ya kiufundi tuwie radhi,ndo wamemaliza hapo,lawama nazipeleka KWA TCRA
Jibu la kisomi kabisa.Huku kwetu TCRA inawaangalia tu hawa jamaa, wamepunguza kiasi cha MB unachopata to almost half
Halafu unavocompare vifurushi vya nchi mbalimbali mbona huangalii cost of living na purchasing power
e.g a bus ride in Canada costs 2.50 CAD dollars,which is almost 4000 tsh, lakini nauli ya daldala kwa Tz ni tsh 400 tu. Je daladala zikipandisha nauli, tusilalamike kisa tu nchi fulani wanalipa bei juu zaidi for the same service
Mi sioni hata hizo regulaations wanazofanyaYaani utafikiri hiki chombo hakifanyi kazi, wao kila siku kung'ang'ana na redio companies na kuzipiga fine
Umeongea vyema sana,Hongera.Huku kwetu TCRA inawaangalia tu hawa jamaa, wamepunguza kiasi cha MB unachopata to almost half
Halafu unavocompare vifurushi vya nchi mbalimbali mbona huangalii cost of living na purchasing power
e.g a bus ride in Canada costs 2.50 CAD dollars,which is almost 4000 tsh, lakini nauli ya daladala kwa Tz ni tsh 400 tu. Je daladala zikipandisha nauli, tusilalamike kisa tu nchi fulani wanalipa bei juu zaidi for the same service
yani hawa makampuni ya simu yapo kama wamachinga,shati bei juu ila suruali bei poa, unakuta bandle inakata fasta ila bei chee,kwenye makato ya muamala bei juu,kwenye kuongea napo vocha bei chee ila dakika zinafinywa.View attachment 404628tazama hapa tz ndiyo tunaongoza kwa kuuza data bei rahisi kuliko wote.
Hii ni ya Lini? Maana bei zimebadilika mara kadhaa toka Mh Magu aingie madarakaniView attachment 404628tazama hapa tz ndiyo tunaongoza kwa kuuza data bei rahisi kuliko wote.