Vodacom Wanakaangwa Afrika ya Kusini

Vodacom Wanakaangwa Afrika ya Kusini

Voda Afrika kusini kifurushi cha mwezi 1GB kwa rand 149 ambayo ni kama shilingi 22,000/. Huko Tanzania unaweza kutumia 32,000/ kupata 16GB kwa mwezi (1GB kwa shilingi 2,000/)
Una uhakika na hiyo bundle ya Tanzania? Halotel ambao ni cheap, hupati kwa bei hiyo.
 
unawezaje kufananisha SA na Tanzania vipato tofauti kabisa ukaweka usawa kwa matumizi.,,
 
Ni kweli mkuu ni nchi tofauti. Zenye vipatovisivyoweza kikaribiana hata miaka 30 ijayo. Inawezekana bei ikawa ndogo kwetu lakini wengi wakashindwa ku afford. Ila bado issue inabaki kwetu gharama ni ndogo. Hata ukiangalia bei za simu za mkononi SA bei zao ziko juu ukilinganisha na TZ. Lakini hiyo haizuii kusema TZ bei ndogo.
SA na TZ ni nchi mbili tofauti. Uku kwetu tunakamuliwa na hii mitandao ya simu.
 
Mkuu usiwe paranoid. Utazeeka vibaya.
Umeongea vyema sana,Hongera.

Ni kama sinema fulani inachezwa,mtoa inawezekana hajaijua ila naye ni mmojawapo wa Washiriki wa Movie.

Swali la Msingi,Why Tanzania iwe mentioned kihivyooo?? Iweje ianze Mada yake kisha iwe connected na kujua what is going on TV against Mada?

Ninachojua,kuna Staff wanaswap baina ya SA na TZ,ndiyo maana nasema hii kama Movie.....unatafutiwa mbaali kama Sniper kisha mtu anataka kujenga Hoja hahaha kwa kulinganisha Nchi na Nchi.

Mamlaka Husika zipo na Taratibu zipo zifuatwe ila si kutaka kuleta Siasa za Mbaali namna hii.
 
Hebu soma kwenye mistali yangu. Nimezungumzia Vodacom kuwa ghali zaidi. Kwani TZ ingawa vifurushi viko cheap mtandao upi waongoza kuwa ghali?
Mbona umekazania sana hili?? Wewe ni mfanyakazi wa voda tanzania ?

inaonekana una hisa voda wewe...
voda saizi ni jina tu lakini huduma zao hovyo kabisa, wao wanaona MB ni anasa
 
Huku kwetu TCRA inawaangalia tu hawa jamaa, wamepunguza kiasi cha MB unachopata to almost half
Halafu unavocompare vifurushi vya nchi mbalimbali mbona huangalii cost of living na purchasing power

e.g a bus ride in Canada costs 2.50 CAD dollars,which is almost 4000 tsh, lakini nauli ya daladala kwa Tz ni tsh 400 tu. Je daladala zikipandisha nauli, tusilalamike kisa tu nchi fulani wanalipa bei juu zaidi for the same service
****
UCHUMI WAO UKOJE?,MISHAHARA YAO KIMA CHA CHINI KIASI GANI?....per hours!
 
Sio sir vodacom kwa sasa haifai kabisa wananyonya sana vifurushi vya intanet vina mb chache mno na pia siku hiz ipo slow sana inachosha
 
Mkuu unapouziwa Iphone toka US huwa wanawapunguzia kwa sababu nyie mna uchumi mdogo?

Sisi uchumi wetu wafanana na nani?

1474513815888-jpg.404628

****
UCHUMI WAO UKOJE?,MISHAHARA YAO KIMA CHA CHINI KIASI GANI?....per hours!
 
Usiongee usilolijua. Mimi huwa sivutwi kwa hisia za uchama.

Niambie uchumi wetu umefanana na nchi gani katika hii chart.

1474513815888-jpg.404628
Am sorry but how is that chat has to do with prices from vodacome packages ??
HV do u even knw their prices kweli o u wanna me break down for ya?
Acheni kutuletea Uchumi wa makaratasi
 
kweli kabisa..
vifurushi vya vodacpm vinaisha haraka kama maji,
ukiweka unakaa kidogo mara unapata msg, akat Tgo na hadi nasaha kama bundle halijaisha.
 
Voda wezi Sana. Nikijiunga gb1 najikuta siku 2 tu imeisha ila Nikijiunga tgo 1gb natumia 5 days.. Kisingizioa eti 4G.. Dah wizi mtupu
 
Voda wenyewe hapa Tz wanakera sana kwa huduma zao, wala siwahitaji. Tena wakome kuwa wananitumia meseji zao za bahati nasibu, nimelidhika na pesa yangu.
 
Una uhakika na hiyo bundle ya Tanzania? Halotel ambao ni cheap, hupati kwa bei hiyo.

Katika dabo dabo bundle ya Vodacom Tanzania unapata 4GB kutumia ndani ya wiki moja (2+2) na inalipiwa Tsh 8,000/. Hapo ni sawa na Tsh 2,000/ kwa 1GB.

Ukienda kwa staili hiyo ndani ya mwezi mmoja utatumia Tsh 32,000/ na utakuwa umepata 16GB kwa ujumla, kwa wastani wa Tsh 2,000/ kwa kila GB moja...

Natumaini umenielewa nachokisema.

Si sahihi sana kulinganisha matumizi ya pesa katika nchi mbili tofauti ila kwa mtu mmoja unayetoka sehemu moja kwenda nyingine unagundua tofaauti ni kubwa sana. Kama ilivyo gharama ya chakula katika hotels, hotel za Dar chakula kizuri katika hotel kubwa ni atleast kuanzia 40,000/ na kuendelea na wakati huohuo nchini Afrika kusini bei iko chini sana kwa hotel ya kiwango sawa au kuzidi hotel ya Bongo.
 
Voda bei rahisi sana kama wanachuo wanafaidi aisee GB 4 kwa 2500 na GB2 kwa 1500 na dakika kibao. Kwa ujumla huduma ya internet kwa Africa yote ni ghali sana kuna mtu anasoma Algeria alinambia gharama ya vifurushi vya internet ni ghali kuliko Tanzania.
 
Inaelekea hawa watu wanahonga sana maana daah TCRA siwasikii kitu Channel za Bure Pia HAKUNA vifurushi ktk mitandao haieleweki yaani Duuh!
 
Back
Top Bottom