tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,399
- 4,732
Mitandao ya simu nchini Afrika ya Kusini (Vodacom, MTN, Cellc n.k) imewekwa kitimoto na kamati ya Bunge ya SA baada ya kulalamikiwa vifurushi internet kuwa ni ghali sana. Malalamiko hayo yamepelekwa na mmiliki mmoja wa kituo cha Radio.
Mmoja wa Wabunge amesema kwamba ni bora ukawa mteja wa Vodacom Tanzania, kuliko kuwa mteja wa Vodacom Afrika ya Kusini. Maana Data Bundles zao nchini Tanzania ni rahisi sana. Pia Mbunge kalalamika kwamba vifurushi vyao Vodacom vinaisha haraka sana.
Ingawa mitandao yote ya simu inauza data bundles bei kubwa sana, Vodacom inalalamikiwa kwa kuwa na bei zaidi.
Kama una Dstv angalia eNCA tv au search live streaming yao.
Niliandika majuzi kuhusu bei ndogo za mitandao ya simu Tanzania: Bongo Vifurushi vya Simu Bei Bwerere!!!

![]()
Tazama hapa tz ndiyo tunaongoza kwa kuuza data bei rahisi kuliko wote.