mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.VODACOM WAMENIPORA elfu hamsini kama mchezo. Huu mtandao hakika ni majizi walioshindikana.
Nina zaidi ya mwezi sijapokea wala kuweka Mpesa. Nimeshangaa ghafla napata meseji eti TRANSACTION REVERSED. Nikadhani utani, kucheki account yangu wamekomba 50,000.
Vodacom ni kwamba hizo fedha mnazodai kuwapa watu mamilioni ndio mnaziiba kwetu? Hata kama mnawahonga TCRA hii nawafikisha mbali.
Thanks mkuu.Mimi walikomba 250000 hivyo hivyo watakuambia ooh siju crdb wanakudai na bla bla kibao.Niliwashukia kwa MD wao wakarejesha wapigie 0754710688 direct maana customer care watakuzingua tuu
Huu wizi mtaacha lini nyie?? na hizi 1000 au mia tano zinazobaki kwenye simu kwenye simu kama salio mnazikwapua kila siku alafu tukipiwapigia simu mnasingizia intenet!!! nokia tochi inatumia intenet?? acheni wizi bana:A S embarassed::A S embarassed::bump2:Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Huu wizi mtaacha lini nyie?? na hizi 1000 au mia tano zinazobaki kwenye simu kwenye simu kama salio mnazikwapua kila siku alafu tukipiwapigia simu mnasingizia intenet!!! nokia tochi inatumia intenet?? acheni wizi bana:A S embarassed::A S embarassed::bump2:
Ina maana ungekaa kimya ndio ingekua imekula kwako mkuu... shida si kurudisha shida ni kwamba huu wizi kwanini wanatufanyia???waliwahi nimomba 1700 nikapiga kuna kidada moja ivi kikapokea eti ooo imekatwa kwa matumizi ya internet wakati huo nlikuwa na mb 180. nikampiga maswali anajiumauma tu eti ooh umedownload file kubwa wakati sijadownload. maajabu sasa wanakata salio na mb zipo nikaona isiwe shida nikamtukana na kumpa makavu live baadae wakanipigia eti oooh mtandao ulikata kimakosa bt walinirudishia mkuu
Ina maana ungekaa kimya ndio ingekua imekula kwako mkuu... shida si kurudisha shida ni kwamba huu wizi kwanini wanatufanyia???
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.