Vodacom wameingia kwenye kamari ya wizi na soka letu. Achení wizi

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,448
12,599
Nimejitoa mara nyingi kwenye huduma yenu hii ya soka letu. Na wala sikumbuki kuwahi kujiunga k ***** zenu.

Kila nkijitoa mnanirudisha .

Nikiweka pesa automatically inakatwa. Acheni upumbavu huu wapumbavu nyinyi. Nimechoka.

IMG_20211026_085701_818.jpg

Hakuna swali lolote nlijibu m k ndu nyie. Nrudishieni pesa yangu.
 
Wakikata kwa wateja buku wanaingiza pesa ngapi?? Mkuu punguza hasira japo kidooogo
🤣🤣🤣🤣🤣 wamekupiga shilingi ngapi mkuu?
Wakikata kwa wateja buku wanaingiza pesa ngapi?? Mkuu punguza hasira japo kidooogo
🤣🤣🤣🤣🤣 wamekupiga shilingi ngapi mkuu?
Wamenipiga sana mkuu.. Nina hasira nao sana.. Majambazi hawa.

Wanapiga pesa nyingi mnoo..
 
Umewapigia wahudumu wao kwa 100 kuwauliza tatizo hili!?

Mimi kuna mtandao walikuwa wananitumia sms hazina kichwa wala miguu. Nilipigia, gia ya kwanza nilimwambia muhudumu abonyeze kitufe cha kurekodi mazungumzo yetu. Na mimi nikamwambia narekodi pia. Niliwashukia hatari. Mwisho nikamwambia muhudumu ahakikishe rekodi ya mazungumzo yetu yanamfikia CEO. Nikamuhakikishia kuwa nitafuatilia. Baada ya masaa kama sita nikapokea ujumbe wa "kumradhi" kutoka kwao.
 
Hawa wseng wapandie ofisin kwao kawachimbe mkwara mixa kuwadai pesa yote waliokata . wakizingua bas nyundo ya mfawidhi ihusike
 
Umewapigia wahudumu wao kwa 100 kuwauliza tatizo hili!?
Mara nyingi mno mkuu. Na nimejitoa mara nyingi.

Nimeweka hela saiv nifanye muamala wa kibenki wamebeba.. Na nlikuwa na hiyo tu..

Wezi hawa manina
Umewapigia wahudumu wao kwa 100 kuwauliza tatizo hili!?

Mimi kuna mtandao walikuwa wananitumia sms hazina kichwa wala miguu. Nilipigia, gia ya kwanza nilimwambia muhudumu abonyeze kitufe cha kurekodi mazungumzo yetu...
Watanzania tunaibiwa sana mkuu ..yani tunaibiwa sanaa..

Hatuwezi endelea na huu wizi. Never.
 
Nimejitoa mara nyingi kwenye huduma yenh hii ya soka letu.. Na wala sikumbuki kuwahi kujiunga k ***** zenu...

Kila nkijitoa mnanirudisha .

Nikiweka pesa automatically inakatwa. Acheni upumbavu huu wapumbavu nyinyi. Nimechoka.
View attachment 1987079
Hakuna swali lolote nlijibu m k ndu nyie. Nrudishieni pesa yangu.
Peleka malalamiko TCRA ukiwa na ushaidi, utapa walau 1 au 2.5 mil kama fidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom