Mambo haya ya kuchakachua yananikumbusha mbali pale UDSM wanafunzi wa Statistics walikuwa wanachakachua sana vocha za Celtel kipindi hicho kwa kuwa walikuwa wanatengeneza vocha kwa kutumia very simple Probability distributions so kwa mtu anayejua vizuri probability distribution ilikuwa ukinunua tu vocha 3 unaweza kupredict vocha zote zinazofuata katika bundle ile.
mkuu shiny c mwenyewe nmeona umefanya uamuzi sahihi kuibana tusidownload mana wengi tutakamatwa just imagine mtu katoa pesa zake mfukon kununua vocha af cm inamwambia vocha imeshatumiwa na namba flani what will happen next? Segereaaaaaaa gerezan