NI SOFTWARE YA KIZUSHI TU IME EDITIWA KWENYE VISUAL BASIC NAONA WATU WENGI MLIFIKIRI INAPIGA MZIGO NA MMENIPM GUYS ITS JUST A PRANK POLENI KWA KUWARUSHA ROHO JUU
Aaah,wapi!
Alitakiwa kumaliza kuafanya hiyo deep analysis kwanza ndo aje hapa na kitu complete.Lakini hivi... tayari kaishaharibu,kufikia jioni watakuwa wameishachange plan.
hehe mkuu naona umeanza kusoma visual basics.. aya bana we mkaree lol! interface tayari sasa swali ni kwamba how can you code it to function? Au unataka kuwarusha watu roho tu?
Hiyo deep analysis haitakufikisha unakotaka kwenda maana hao VODACOM watakuwa walianzia huko unakotaka kwenda ambako wamefunga na funguo wanazowahusika tu!
Haya kamanda tunasubiri kuona huo uchawi mweusi but sidhani kama tutafika maana bila shaka wahusika wapo humu wanasubiri kuzima huo moto kabla haujaleta madhara kawao