Vodacom usiku pack

Vodacom usiku pack

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
Me ni mteja mpya wa huu mtandao, ninaomba msaada wa jinsi ya kujiunga na bando la intaneti la usiku tu.
 
*149*01#
1-Internet-Bure/Mwaka(5)
2-Internet-Bure/Mwaka(1)
3-Vifurushi vya Usiku(5)
Tsh 1500(4GB/Usiku 2)
#Kazi Kwako!...
Asante sana mkuu nlkua nmejiunga na 4G yao leo nataka niitest kwa kushusha movies
 
njooni halotel achaneni na hayo majizi yameiba mpaka yakasaza 10000 , 10GB, 80mn mitandao yote , 1200mn halo-halotel sms kibao kwa mwezi
kwenye students chip
 
njooni halotel achaneni na hayo majizi yameiba mpaka yakasaza 10000 , 10GB, 80mn mitandao yote , 1200mn halo-halotel sms kibao kwa mwezi
kwenye students chip

Wote tuseme ameniiiiiiiiiii... hili ndilo bando langu. sina mawazo ya usiku wala mchana na siku zinavyozidi kwenda najishangaa sizimalizi hizi GB...
 
Hii offer ipo vipi mjukuu wangu??
Mtumiaji anawezaje jiunga??
-unapata gb 10
-zinatumika ndani ya siku 3 kuanzia saa 5 usiku hadi 12 asubuhi
-gharama shilingi 600

kujiunga unanunua tu vocha ya chuo unaieka mfumo huu

*149*94*nambavocha#

maelezo yapo kwenye vocha
 
njooni halotel achaneni na hayo majizi yameiba mpaka yakasaza 10000 , 10GB, 80mn mitandao yote , 1200mn halo-halotel sms kibao kwa mwezi
kwenye students chip
Mhh.. Yani unaweza kutumia 10gb mwezi mzima? Kweli unamoyo.
 
Back
Top Bottom