Vodacom uni offer yaongezeka gharama

mkanyikivega

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
215
Reaction score
225
Wakubwa shikamoo wadogo wenzagu habari ya mchana,
Hatimaye vodacom wameongeza gharama za uni offer maarufu kama vifurushi vya chuo. Kwa kila kifurushi ulichokua unanunua mwanzo now inabidi uongeze 500/= ya awamu ya tano ili uweze kujiunga...



kinachoniuma zaidi ni kwamba natumia simu ya vodafone inasapoti laini ya voda tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…