mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Mtandao wenu unasumbua kwa kila kitu,iwe kupiga na tukija kwenye internet ndio kabisa unaweza ukatupa line kabisa,rekebisheni tatizo maana vijana wengi wanahamia mitandao mingine kwa kukwepa adha ya mtandao wenu.