Vodacom tz kwafukuta.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom tz kwafukuta..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papushka, Sep 12, 2012.

 1. P

  Papushka Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yasemekana hali si shwari ndani ya Vodacom Tz hususan baada ya mkataba kati yake na Nokia Siemens Networks (NSN) kitengo cha Operations.
   

  Attached Files:

 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  NSN mbona sio Vodacom? Hii ni separate company
   
 3. P

  Papushka Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imeingia mkataba na Vodacom na kuchukua staff wa Vodacom upande wa operations, na inafanya sehemu kubwa ya kazi za voda.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kumechafuka nini hapo? Tiririkaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwani agreement inasemaje?kuna baadhi ya senior positions zinatakiwa kupewa wazawa na zingine wapewe foreigners just like other institutions,ila naona almost senior position zote wamechukua hao makaburu na wahindi!!kweli hapo kuna tatizo may be hawatuamini watanzania,like what happened NBC LTD!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona izi issue zina cut accross tungekuwa na viongozi serious robo ya watz wasio na ajila wangepata ajira faster
  Bse kuna watu uko kwao ni washenzi tuu uku kwetu anakuja kuwa bosi hasa wahindi na wakaburu
   
 7. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  tuwekee huo gufaili wazi. Maana kudownload miatachimenti kunamaliza hela kwenye visimu vyetu,haswa sisi tunajivunia na sh 700 kwa intaneti ya siku moja.
   
 8. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye red hapo....hii hapa mkuu...

  COMPLAINTS ON FOREIGN EXPATRIATES
  Mr. Eric Shitindi
  Permanent Secretary
  Ministry of Labor and Employment (MLE)
  The United Republic of Tanzania
  P.O. Box 1422
  DAR ES SALAAM, TANZANIA
  cc. George M. Masaju
  Deputy Attorney General
  Attorney General's Chambers
  The United Republic of Tanzania
  cc. Mr. Mbarak M. Abdulwakil
  Permanent Secretary
  Ministry of Home Affairs
  Government of Tanzania
  cc. Mr. Eliezer Feleshi
  Director of Public Prosecution (DPP)
  cc. Mr. Robert Manumba
  Director of Criminal Investigation (DCI)
  Department of Criminal Investigation
  Ministry of Home Affairs
  cc. Dr. Edward Hoseah
  Director General
  Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)
  P O Box 4865
  Dar es salaam, Tanzania
  cc. Dr. K. W. D. Khomano
  Director
  Immigration Services Department
  Ministry of Home Affairs
  Mr. Permanent Secretary
  Greetings
  Re: Foreign Expatriates in Nokia Siemens Network (NSN) TANZANIA
  We would like to table our complaints regarding unacceptable foreign expatriates' employment practices at
  NSN for your attention and appropriate action.
  We understand that one of the important reasons for encouraging investments in our country is to create
  and increase employment opportunities for Tanzanians. However, it is increasingly becoming a tendency
  for foreign workers to get employment opportunities and sometimes to be preferred employees in position,
  professions and jobs that many Tanzanians are qualified for and can do, and one such a case is to be
  found in NSN. We would like to present the following issues for your attention:
  2
  1. The following foreign employees are some of the expatriates working at NSN in positions, jobs and
  with expertise abundantly available among local Tanzanians, and they therefore reduce the
  chances and opportunities of Tanzanians to be employed.
  2. We doubt whether some of these foreign employees have genuine work permits that actually
  reflects what they are doing, because of their tendency to leave the country for a few days, often
  when their visas are about to expire and re-enter, and therefore getting visas extension and
  thereby abusing Tanzanians hospitality.
  3. The above employees, are some of those who have had extended stay in the country, and are
  different from many who come on short term basis for projects that can be done by Tanzanians
  4. Several times we have witnessed officials from immigration services department coming and
  leaving in ‘questionable' circumstances which leads to rife speculations that there are probably
  dubious and unethical practices going on to maintain and protect the status quo.
  5. Employed Tanzanians are increasingly subjected to difficult working conditions and frustrations as
  a strategy towards forcing them to resign and find the working environment unbearable, to give
  room to more foreign employees especially from India to get employment opportunities.
  6. It would be best to scrutinize the legality and viability of the contract between Vodacom and NSN,
  and whether it does not breach respective laws of the land. Moreover, the said contract had
  contravened many rights of local employees, as your investigations would certainly and more
  specifically reveal.
  7. The adopted NSN strategy which seeks to centralize its services through a ‘global services
  delivery approach' is being implemented and the looming transfer of Network Operations functions
  and other strategic measures being rolled out is set to render many local employees unemployed
  and even curtail the prospects of future employment opportunities. These measures apart from
  affecting immediate employees, they also have a long-term implication to the nation.
  We hope your esteemed offices will choose to take this matter seriously and out of patriotism endeavor to
  ensure that profound screening is carried out and appropriate subsequent measures undertaken.
  Thanking you,
  Tanzanian Employees
  NSN Tanzania
   
 9. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kamanda Moshi nashukuru sana. Ubarikiwe kupita maelezo.
   
 10. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  watz mmezidi kuiba hamuaminiki
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  What about Airtel, nao hawawatumii NSN? To my understanding Ni Tigo tu walio na different arrangement
   
 12. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inasemekana wanacheki upepo voda halafu watahamia Airtel. Serikali isipokuwa makini itajaza vijana wake mitaani kwa kuwapa hawa wahindi/makaburu nafasi hata za kawaida kama Human resource, Engineers wa kawaida kama nilivyosoma juu apo jambo ambalo hata wazawa wangeweza kufanya. La msingi ni hao waliokuwepo NSN wasimame kidete kutaja maovu ya. Kwao serikali haiwezi kujua kiundani nani anastahili ajira halali na mgeni nani hastahili.!! Waajiriwa wa NSN wekeni data zaidi hapa wadau wawasaidie kupaza sauti zenu acheni uoga.
   
 13. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Shukrani nyingi ziende kwa Moshi aliyepaste document. Nimeisoma vizuri na kuona kuna haja ya wabongo kulinda ajira zao lasivyo watachukuliwa kila nafasi hata ya Umessanger!!!
   
 14. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,992
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  ......you mean Xenophobia... inabidi kwani Migodini Kaburu ni wengi mno wanafanyakazi ya Ulinzi. Uliza mshahara na allowance zake, weeeeee utachooookaa!!
   
 15. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  Ni kweli tumekuwa tukiwapa ajira watu wa nje kuliko hapaa nchini hiki kitu hakifanyiki sehemu nyingine duniani ila tanzania lakini wakati natetea wataanzaania wapewe kipaumbele kwenye ajira nao inabidi waache tamaa za kutajirika haraka haraka kwani sasa wengi wamekuwa wezi juzi juzi tumesikia walivyoiba pesa m pesa na kwenye mabenki hii inawajengea hoja wale wasiotaka kuajiri watanzania kwani takwimu za uhalifu ziko polisi
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  hii kitu ipo almost makampuni mengi ya simu, serikali pia ijaribu kuwachunguza HUAWEI...nao wale wapuuzi wanalipa wafanyakazi wa kibongo mishahara midogo kweli wakati wao wanajineemesha tu.
  Serikali anagalieni wazawa la sivyo itafika kipindi baadhi ya taaluma zitakuwa na wataalam wachache wa Kitanzania
   
 17. M

  Mr.Mpugusa Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado hujaelewa kumbe, NSN siyo Vodacom. Vodacom iliwaachisha kazi hao wafanyakazi na iliwalipa, kwahiyo kwa sasa si wafanyakazi wa vodacom, why are you calling them vodacom? ungesema NSN staff working at vodacom project kwafukuta, I think ungekuwa very correct.

  TCRA au wizara ya akina makamba inasemaje juu ya hili? watanzania wanapoteza ajira, na pia serikali inapoteza kodi ivi ivi mchana kweupe. Kama ni ivo serikali iwafungie license hao NSN hapa tanzania ili tukose wote
   
 18. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Serikali yenyewe hipi haswa ya kuwatetea na kulinda ajira ya waTanzania? Serikali hii ya rais kuongwa vipande vya suti!!!!.waongwa
   
 19. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Only in Tanzania ndio inawezekana! Huwezi kuacha sheria za ajira ziende kwa wageni kiasi hiki, hata Ulinzi mmh
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

Loading...