kwitandula
Member
- May 24, 2020
- 30
- 35
Kweli kabisa yani tena naona hata wanakiuka maadili TCRA waangalie ile ni huduma sio matangazo!!Mtu anapopiga simu anataka aongee na mtoa huduma,kumuwekea matangazo mengi wala hayazingatii kwasababu akili yake ishavurugwa na changamoto anayotaka msaada huduma kwa wateja.
Kwa mfano,mtu anapiga simu kuzuia muamala wa pesa,alafu mnamuwekea maelezo meengi yasiyo na msaada kwake,hana muda wa kuzingatia matangazo ya promosheni yenu mnayomweleza ni kupoteza muda tu.
Na wizi umeongezeka kwenye vifurushi tatizo ni mtandao ambao wengine watu wetu wengi wa karibu hasa watu wazima wanautumia lasivyo ningeuacha kabisaPia vifurushi vyao ni bei ya juu sana/ghali,na vinabadilishwa na kupandiahwa bei bila kumpa taalifa mteja.
Sijalazimishwa na sihami ila kwenye ubovu lazima tuseme na sijasema kuwa mtandao ni mbaya may be wewe hujapata hizo changamotoKwani umelazimishwa kuwa mteja wa Vodacom??
Hebu hamia mitandao "utopolo' mingine utuachie the superb and leading network in TANZANIA yetu
nawaza tusi la kukupa sema nafuta na kuandika nafuta tena aaagh maku...konyoKwani umelazimishwa kuwa mteja wa Vodacom??
Hebu hamia mitandao "utopolo' mingine utuachie the superb and leading network in TANZANIA yetu
Isifie tu, siku ukipigwa hutarudi hapa na mashairi ya kusifu na kuabudu Vodacom. Mie nilishaachana nao kitambo.Kwani umelazimishwa kuwa mteja wa Vodacom??
Hebu hamia mitandao "utopolo' mingine utuachie the superb and leading network in TANZANIA yetu
Hahahha bado hawajamuosha huyoIsifie tu, siku ukipigwa hutarudi hapa na mashairi ya kusifu na kuabudu Vodacom. Mie nilishaachana nao kitambo.
Tafuta pesa pimbi wewe acha kulia lia!!nawaza tusi la kukupa sema nafuta na kuandika nafuta tena aaagh maku...konyo
Suluhisho ndo hilo bwana, Kama huna pesa za kumudu kasi ya maendeleo ya mtandao wetu pendwa hamia tu mitandao mingine na sio kulia lia kipumbavu Kama mleta mada.Isifie tu, siku ukipigwa hutarudi hapa na mashairi ya kusifu na kuabudu Vodacom. Mie nilishaachana nao kitambo.