Vodacom Tanzania na intaneti spidi ya kobe

Vodacom Tanzania na intaneti spidi ya kobe

mbona vodacom wapo vizuri mm nadhani ninyi i wale wa aina fulani wa dr digital ambao mmeandika 4g ktk line zenu harafu mnawandanganya watu acheni unafiki vodacome 4g is best for internet in tanzania
Hiyo 4g inapatikanaje mkuu,tusaidiane make mimi natumia WIWA X1 network inaniandikia E basi nimejaribu kuwapigia wakanitumia hadi settings upya lakini wapi naomba msaada kwako mkuu kama hutojali
 
Hiyo 4g inapatikanaje mkuu,tusaidiane make mimi natumia WIWA X1 network inaniandikia E basi nimejaribu kuwapigia wakanitumia hadi settings upya lakini wapi naomba msaada kwako mkuu kama hutojali
Kabla ya yote tambua si kila simu ina uwezo wa kuaccess network ikaenda hadi 4g. Na maeneo pia yanachangia. Maana mimi nimehamisha ofis kwenda sehemu nyngne lakin najuta kwasababu ya network maana imekuwa slow sana.
 
Nimekuelewa mkuu make hukuniliko nikijijini kabisa naimesha nisumbua kweli shukurani kwa ufafanuzi
 
Kwa kitambo sasa nimekuwa mteja wa Vodacom. Kwa upande wa Internet sio siri jamaa wanajitahidi, kila siku nikitulia zangu usiku huwa napakua movie za kutosha tena kwa kutumia USB tethering au hotspot tu! Jamaa wanajitahidi sana kwakweli hao Tigo na Airtel naona wazushi tu.
 
Back
Top Bottom